Jan 29, 2018 · Inashauriwa kunywa glass moja ya juisi ya apple kabla kula chakula (nusu saa kabla) na pia kabla ya kwenda kulala usiku. High Blood Pressure Apple linasaidia katika kuongeza kutoa (secreation) mkojo amba po husaidia kurudisha blood pressure katika hali ya kawaida, pia inasaidia kupungua kwa sodium chloride katika figo. Katibu tarafa wa Negezi ambaye alikuwa mgeni rasmi kwa niaba ya katibu tawala wa wilaya hiyo ambaye alisimama na kuwakilisha taarifa ya mkuu wa wailaya hiyo Wilson Nkhambaku katika maadhimisho ya siku ya serikali za mitaa yaliyofanyika kwenye kijiji cha Negezi kata ya Ukenyenge wilayani humo huku akiwaeleza wananchi kuwa bado kunachangamoto ya tatizo la wazazi kuwazuia watoto wao kupata elimu ...
Hata wewe msomaji unaweza kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana hapa Kutafuta mliopotezana <<BOFYA HAPA>>. Apr 25, 2018 · Kila mtu huwa anajiuliza ni jinsi gani ya kuondoa mafuta tumboni, iwe tumbo ni la kati au ni kitambi kimejitokeza. Kwa mwili mnene wenye mafuta mengi ni vigumu kuona matokeo mazuri ya kuridhisha kwa kufanya mazoezi pekee, maana asilimia hamsini ya mafuta mwilini huifadhiwa chini ya ngozi, na kiasi kingine kilicho baki huwa ndani ya misuli.
May 13, 2019 · HOMA YA DENGUE : MAMBO MUHIMU KUFAHAMU. Homa ya dengue huitwa pia homa inayovunja mifupa ( breakbone fever), ni moja ya maradhi ambayo hutokea zaidi msimu wa mvua..
kwa matokeo mazuri zaidi, mkanda huu uvaliwe kwa wiki nne mpaka sita baada ya kujifungua. fanya mazoezi; mazoezi husaidia sana kupunguza tumbo la uzazi, sio lazima kufanya mazoezi mazito sana lakini unaweza kutembea, kukimbia kidogo, kuruka kamba,cardio na kadhalika, na utapata matokea mazuri sana ndani ya muda mfupi,
Jan 24, 2018 · Tiba hii, iliweza kupunguza kuganda kwa mishipa ya damu kwa asilimia 74 ya wagonjwa waliofanyiwa utafiti. Shinikizo la damu, pamoja na matatizo yaambatanayo na maumivu ya kifua na kizunguzungu yalitoweka kutoka kwa wagonjwa wengi wiki chache tu baada ya watafiti wa Kiitaliano kuwapa dozi za mara kwa mara za asali iliyochanganywa na mdalasini.
Kibandiko hiki cha plasta hutumika mara moja wiki na kwa wiki tatu kila mwezi. Wiki ya nne mwanamama hatotumia kibandiko hiki ili aweze kupata siku za hedhi kwenye mzunguko huo. Dawa za kuchoma katika misuli na husharabiwa kwenye mishipa ya damu kwa njia ya sindano kama Depo Provera®. Ni moja ya dawa za asili chache zinazoweza kutibu vidonda vya tumbo moja kwa moja. Tafiti nyingi zinathibitisha mafuta ya habbat soda yanatibu aina zote za vidonda vya tumbo! Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku kwa majuma kadhaa hadi siku 60 hasa habbat soda grade 1.
Bibi kizee mmoja mwenye umri wa miaka 85 raia wa Marekani, na ambaye amekuwa akiiba vito vya thamani kwa zaidi ya miaka 60 amehukumiwa tena kwa kosa la wizi. Read More Thursday, 22 October 2015
Siku hizi, urembo kwa mwanamke unaelezeka kwa njia nyingi, kando na hapo kale ambapo sura tu ilitosha. Siku hizi, umbo la mwili ni mojawapo ya njia zinazotumika kuamua kama mwanamke ni mrembo au la. Katika maudhui haya ya umbo la kuvutia, kuna sehemu za mwili ambazo huchangia katika urembo huu.
Zao la tangawizi hupandwa kwa kutumia vipande vya tunguu vyenye kichipukizi kizuri angalau kimoja na huweza kukatwa katika urefu wa sm.2.5-5. Wakati mwingine, vichipukizi vinavyopatikana katika kumenya tangawizi huweza kuhifadhiwa na kutumika kwa kupanda. Kiasi cha kilo 840-1700 cha vipande vya tunguu huweza kutumika kwa kupanda katika hekta moja. Dec 02, 2015 · Lakini kipimo hiki huwa kina changamoto zake kwa baadhi ya akinamama ambao kulingana na matatizo ya kiwango cha homoni mwilini hakitaweza kuonyesha majibu mpaka wapitishe wiki moja bila kuona siku zao. Pamoja na dalili hizo hapo juu, ni vyema kupata ushauri wa kitaalamu zaidi kutoka kwa daktari aliyepo karibu na wewe.
Kutokana na uimbaji wake mzuri, siku moja iliandaliwa show ya pamoja kati ya kibao kata na east african melody, aliponyanyuka kivurande kuimba ndipo viongozi wa kibao kata wakamuona na kuanza taratibu za kumnyakuwa moja kwa moja!, na kweli walifanikiwa kumchukuwa na sasa yeye ndio reader pale mbele katika uimbaji, unapomkuta stejini akifanya ...
— Premenstrual syndrome (Hali inayomkumba mwanamke wiki moja hadi mbili kabla ya kuona siku zake kama uchovu, miwasho sehemu za siri, vipele vyekundu au vyeusi hasa usoni, pamoja na mabadiliko ya mood) — Kutoka kwa mimba — Kuongezeka uzito ghafla — Wasiwasi (Anxiety) — Kukosa usingizi — Maumivu au Vimbe kwenye maziwa MPAPAI Kuandaa: Kata jani moja bichi la Mpapai na uliponde ponde lilainike kiasi. Kisha changanya na maji kiasi cha lita mbili na nusu. Kutumia (kwa tiba) - Kuku wapewe maji hayo wanywe,wasipewe maji mengine kwa ajili ya kunywa kwa siku angalau nne au zaidi, Inafaa zaidi kila siku kuwaandalia dawa mpya ili dawa isiharibike.